Kumbukumbu La Sheria 24:6 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mtu yeyote asichukue jiwe la chini au la juu la kusagia kuwa rehani; kufanya hivyo ni kama kuchukua uhai wa mtu huyo.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:1-8