Kumbukumbu La Sheria 24:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila siku, kabla jua halijakuchwa, mlipe ujira wake wa siku hiyo, maana yeye ni maskini na huo ujira ni tegemeo la moyo wake; ili asije akamlilia Mwenyezi-Mungu, nawe ukawa na hatia.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:6-22