Kumbukumbu La Sheria 24:14 Biblia Habari Njema (BHN)

“Usimdhulumu kibarua maskini na mhitaji, awe Mwisraeli au mmoja wa wageni wanaoishi katika miji yenu.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:10-21