Kumbukumbu La Sheria 24:16 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wazazi wasiuawe kwa makosa ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya makosa ya wazazi wao. Kila mtu atauawa kwa makosa yake mwenyewe.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:7-22