Kumbukumbu La Sheria 24:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Mrudishie kila siku jioni ili usiku aweze kujifunika na kukutakia baraka. Kufanya hivyo ni jambo la uadilifu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:7-18