Kumbukumbu La Sheria 21:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao watamteremsha ndama bondeni kwenye kijito ambacho hakikauki, na bonde hilo halilimwi au kupandwa; huko watamvunja huyo ndama shingo.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:1-5