Kumbukumbu La Sheria 21:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha, wazee wa mji ule ulio karibu zaidi na ile maiti watachukua ndama ambaye hajatumiwa kufanya kazi yoyote ile wala kutiwa nira.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:1-6