Kumbukumbu La Sheria 21:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao makuhani wa ukoo wa Lawi sharti wawepo hapo. Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwachagua wamhudumie na kubariki watu kwa jina lake. Wao pia ndio wenye mamlaka kuhusu kila tukio na utumiaji wa nguvu.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:1-13