Kumbukumbu La Sheria 21:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama baadaye hupendezwi naye, utamwacha huru aende zake; usimwuze kwa fedha, wala usimfanye kama mtumwa, kwa sababu ulimnyenyekesha.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:12-18