Kumbukumbu La Sheria 21:13 Biblia Habari Njema (BHN)

na kubadili nguo zake za mateka. Atakaa muda wa mwezi mzima kumwombolezea baba yake na mama yake; kisha waweza kumwoa uwe mume wake, naye awe mke wako.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:12-21