Kumbukumbu La Sheria 21:15 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ikiwa mwanamume fulani ana wake wawili naye anampenda mmoja kuliko mwingine. Nao wanawake hao wamemzalia watoto wa kiume, na mtoto wa kwanza kuzaliwa ni wa yule mama asiyempenda,

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:11-17