Kumbukumbu La Sheria 20:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuna mwanamume yeyote hapa aliyeposa na yuko karibu kuoa? Arudi nyumbani, asije akafia vitani, na mwanamume mwingine akaoa mchumba wake.’

Kumbukumbu La Sheria 20

Kumbukumbu La Sheria 20:1-9