Kumbukumbu La Sheria 20:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuna mtu yeyote hapa aliyepanda mizabibu na ambaye hajafurahia matunda yake ya kwanza? Arudi nyumbani asije akafia vitani na mtu mwingine akafurahia matunda yake.

Kumbukumbu La Sheria 20

Kumbukumbu La Sheria 20:2-8