Kumbukumbu La Sheria 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi.

Kumbukumbu La Sheria 20

Kumbukumbu La Sheria 20:1-9