Kumbukumbu La Sheria 19:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Msiwaonee huruma watu wa aina hiyo. Uhai utalipwa kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono na mguu kwa mguu.

Kumbukumbu La Sheria 19

Kumbukumbu La Sheria 19:15-21