Kumbukumbu La Sheria 15:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kama nduguyo Mwebrania, mwanamume au mwanamke, akiuzwa kwako, atakutumikia kwa miaka sita, lakini katika mwaka wa saba, utamwacha huru.

Kumbukumbu La Sheria 15

Kumbukumbu La Sheria 15:3-17