Kumbukumbu La Sheria 15:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana maskini hawatakosekana nchini; hivyo nawaamuru, muwe wakarimu kwa ndugu zenu wahitaji na maskini nchini mwenu.

Kumbukumbu La Sheria 15

Kumbukumbu La Sheria 15:8-21