Kumbukumbu La Sheria 13:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Msichukue kitu chochote kilichotolewa kiteketezwe, ili Mwenyezi-Mungu aache ile hasira yake kali, awaoneshe rehema na huruma, na kuwafanya muwe wengi sana kama alivyowaahidi babu zenu,

Kumbukumbu La Sheria 13

Kumbukumbu La Sheria 13:11-18