Kumbukumbu La Sheria 13:18 Biblia Habari Njema (BHN)

kama tu mtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mkishika amri zake zote ninazowapa hivi leo, na kufanya yaliyo sawa mbele yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kumbukumbu La Sheria 13

Kumbukumbu La Sheria 13:10-18