Kumbukumbu La Sheria 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtakusanya nyara zake zote katika uwanja wa hadhara wa mji na kuzichoma kwa moto kama sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana Mungu wenu; mji huo utakuwa rundo la magofu milele, nao hautajengwa tena.

Kumbukumbu La Sheria 13

Kumbukumbu La Sheria 13:7-17