Kumbukumbu La Sheria 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Huko mtapeleka tambiko zenu za kuteketezwa na sadaka zenu, zaka zenu za matoleo yenu, sadaka zenu za nadhiri, matoleo yenu ya hiari na wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:1-16