Kumbukumbu La Sheria 12:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Bali mtakwenda mahali ambapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atachagua katika makabila yote ili kuliweka jina lake na makao yake hapo; huko ndiko mtakakokwenda.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:1-7