Kumbukumbu La Sheria 12:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Huko, mtakula mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na mtafurahi nyinyi pamoja na watu wa nyumbani mwenu kwa ajili ya mafanikio yenu aliyowabarikia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:1-10