Kumbukumbu La Sheria 11:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; nchi yenu itaenea kutoka jangwani, upande wa kusini, hadi milima ya Lebanoni upande wa kaskazini, na kutoka mto Eufrate upande wa mashariki, hadi bahari ya Mediteranea upande wa magharibi.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:19-32