Kumbukumbu La Sheria 11:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Hakuna mtu yeyote atakayeweza kuwakabili. Popote mtakapokwenda katika nchi hiyo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawatia watu hofu wawaogope, kama alivyowaahidi.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:21-32