Kumbukumbu La Sheria 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)

basi Mwenyezi-Mungu atayafukuza mataifa yote hayo mbele yenu, nanyi mtamiliki nchi iliyo mali ya mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:19-28