Kumbukumbu La Sheria 10:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena Mwenyezi-Mungu aliwapenda babu zenu kwa dhati, akawachagua nyinyi wazawa wao kuwa watu wake badala ya watu wengine wote, kama ilivyo hivi leo.

Kumbukumbu La Sheria 10

Kumbukumbu La Sheria 10:12-22