Kumbukumbu La Sheria 10:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Tazama, mbingu hata mbingu za mbingu ni mali yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; dunia na vyote vilivyomo ni mali yake.

Kumbukumbu La Sheria 10

Kumbukumbu La Sheria 10:8-22