Kumbukumbu La Sheria 1:43 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mimi niliwaambieni hivyo, lakini nyinyi hamkusikia. Badala yake mlikataa kufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, bila kujali mkaingia katika nchi hiyo ya milima.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:36-46