Kumbukumbu La Sheria 1:44 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo, Waamori waliokuwa wanaishi katika eneo hilo la milimani wakateremka kuwashambulia na kama wafanyavyo nyuki wakawapiga huko Seiri mpaka Horma.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:35-46