Kumbukumbu La Sheria 1:42 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Waambie hao watu wasiende kupigana kwa sababu sipo pamoja nao; wasiende, wasije wakashindwa na adui zao’.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:41-46