Isaya 66:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, nitawatunza watu wangu mpaka karibu wazaliwe,halafu niwazuie wasizaliwe?Au mimi mwenye kuwajalia watoto,nitafunga kizazi chao?Mimi Mungu wenu nimesema.”

Isaya 66

Isaya 66:1-17