Shangilieni na kufurahi pamoja na Yerusalemu enyi mnaoupenda!Shangilieni pamoja nao enyi nyote mlioulilia!