Isaya 66:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni nani aliyepata kusikia jambo kama hilo?Ni nani aliyewahi kuona jambo kama hilo?Je, nchi nzima yaweza kuzaliwa siku moja?Je, taifa zima laweza kuzaliwa mara moja?Maana Siyoni, mara tu alipoanza kuona uchungu,alijifungua watoto wake.

Isaya 66

Isaya 66:1-18