Isaya 66:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi mwenyewe nilivifanya vitu hivi vyote,na hivi vyote ni mali yangu.Lakini ninachojali mimini mtu mnyenyekevu na mwenye majuto,mtu anayetetemeka asikiapo neno langu.

Isaya 66

Isaya 66:1-8