Isaya 66:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Mbingu ni kiti changu cha enzi,dunia ni kiti cha kuwekea miguu yangu.Mtanijengea nyumba ya namna gani basi,Mahali nitakapoweza kupumzika?

Isaya 66

Isaya 66:1-11