Isaya 66:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama mama, Yerusalemu utawanyonyesha,nanyi mtashiba kwa riziki zake;mtakunywa shibe yenu na kufurahi,kutokana na wingi wa fahari yake.

Isaya 66

Isaya 66:9-13