Mbwamwitu na kondoo watakula pamoja,simba watakula nyasi kama ng'ombe,nao nyoka chakula chao kitakuwa vumbi.Katika mlima wangu wote mtakatifu,hakuna atakayeumiza au kuharibu kitu.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”