Isaya 62:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Bali nyinyi mliyoivuna nafaka hiyo,mtaila na kunitukuza mimi Mwenyezi-Mungu.Nyinyi mliochuma zabibu hizo,mtakunywa divai yake katika nyua zangu takatifu.”

Isaya 62

Isaya 62:6-12