Isaya 62:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ameapa kwa mkono wake wa kulia,naam, ameapa kwa mkono wake wenye nguvu akisema:“Sitawapa tena maadui zako nafaka yako;wala wageni hawatakunywa tena divai yakoambayo umeitolea jasho.

Isaya 62

Isaya 62:1-9