Isaya 62:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakazi wa Yerusalemu, tokeni, tokeni nje ya mji,watayarishieni njia watu wenu wanaorejea!Jengeni! Jengeni barabara na kuondoa mawe yote!Wekeni alama kwa ajili ya watu.

Isaya 62

Isaya 62:6-12