Isaya 58:6 Biblia Habari Njema (BHN)

“La! Mfungo ninaotaka mimi ni huu:Kuwafungulia waliofungwa bila haki,kuziondoa kamba za utumwa,kuwaachia huru wanaokandamizwa,na kuvunjilia mbali udhalimu wote!

Isaya 58

Isaya 58:5-13