Isaya 58:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfungo wa kweli ni kuwagawia wenye njaa chakula chako,kuwakaribisha nyumbani kwako maskini wasio na makao,kuwavalisha wasio na nguo,bila kusahau kuwasaidia jamaa zenu.

Isaya 58

Isaya 58:6-12