Isaya 58:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfungapo, nyinyi mnajitaabisha;mnaviinamisha vichwa vyenu kama unyasi,na kulalia nguo za magunia na majivu.Je, huo ndio mnaouita mfungo?Je, hiyo ni siku inayokubaliwa nami?

Isaya 58

Isaya 58:3-7