“Nisikilizeni enyi watu wangu,nitegeeni sikio enyi taifa langu.Sheria na haki zitatoka kwangu mimi;nazo zitakuwa mwanga wa mataifa.