Nitaleta ukombozi hima;wokovu nitakaoleta waanza kutokea.Mimi mwenyewe nitayatawala mataifa.Wakazi wa nchi za mbali wananingojea,wanaitegemea nguvu yangu.