Isaya 51:3 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mimi Mwenyezi-Mungu nitaufariji mji wa Siyoni,nitaparekebisha mahali pake pote palipoharibika.Nyika zake nitazifanya kama bustani ya Edeni,majangwa yake kama bustani ya Mwenyezi-Mungu.Kwake kutapatikana furaha na shangwe,na nyimbo za shukrani zitasikika humo.

Isaya 51

Isaya 51:1-13