Isaya 21:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Nimeoneshwa maono ya kutisha,maono ya watu wa hila watendao hila,maono ya watu waangamizi wafanyao maangamizi.Pandeni juu vitani enyi Waelamu;shambulieni enyi Wamedi!Mungu atakomesha mateso yoteyaliyoletwa na Babuloni.

Isaya 21

Isaya 21:1-3