Isaya 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Kauli ya Mungu dhidi ya jangwa kando ya bahari.Kama vimbunga vinavyovuma kutoka kusini,wavamizi wanakuja kutoka jangwani,kutoka katika nchi ya kutisha.

Isaya 21

Isaya 21:1-2