Isaya 21:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa maono hayo nimeingiwa na hofu kubwa,uchungu mwingi umenikumba;kama uchungu wa mama anayejifungua.Maumivu yamenizidi hata siwezi kusikia;nimefadhaika hata siwezi kuona.

Isaya 21

Isaya 21:1-7